Dodoma FM

Ulemavu si kikwazo kuwania nafasi za uongozi

23 October 2024, 12:54 am

Na Mariam Matundu.

Jamii imetakiwa kuwamini watu wenye ulemavu wanaojitokeza kugombea katika uchaguzi wa serikali za mitaa ili kuchochea maendeleo.

Daudi Mlewa ambaye ni mtu mwenye ulemavu ni mwenyekiti anayemaliza muda wake wa oungozi katika mtaa wa Karume anatueleza   uthubutu wake katika kuwania nafasi ya uongozi na mafanikio aliyopata katika kipindi cha uongozi.

Pichani Naomi Mayao akieleza jinsi alivyomsaidia Bwn, Daudi Mlewa kuwania nafasi za uongozi
Makala Maalumu
Pichani BI Zaina Mlawa Afisa Maendeleo Wilaya ya Chamwino