Dodoma FM

Serikali yaipandisha hadhi shule ya msingi Mandawa

23 October 2024, 12:55 am

Nas Mindi Joseph.

Serikali imeipandisha hadhi shule ya msingi Mandawa ili kuweza kutoa elimu ya  ya kidato cha tano na sita.

Akizungumza kwa niaba ya wanafunzi wenzake, Kaka Mkuu wa shule ya sekondari Mandawa, Saidi Mohammed Mkowola ameishukuru Serikali kwa kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu itakayowezesha kutoa elimu ya kidato cha tano na sita shuleni hapo.

Saidi Mohammed Mkowola pia ameishukuru Serikali kwa kutoa fedha kiasi cha sh. milioni 30 kwa ajili ya ukamilishaji wa maabara ya fizikia.

Pichani Kaka Mkuu wa shule ya sekondari Mandawa, Saidi Mohammed Mkowola
Sauti ya Bwn. Saidi Mohammed Mkowola

Aidha Ujenzi wa miundombinu ya madarasa pamoja na mabweni unatarajia kuanza hivi karibuni baada ya mikutano ya kuhamasisha jamii kushiiki katika baadthi ya shughuli za ujenzi kwa kujitolea.

Pichani waziri Mkuu Kasim Majaliwa kihoji juu ya ujenzi wa mabweni na madarasa
Sauti ya waziri Mkuu na wadau wengine
Pichani wanafunzi wa Mandawa shule ya msingi Mandawa wakiwa wamebeba banbo lenye thamani ya fedha liyotolewa kwa ajili ya ujenzi.