Dodoma FM

Mazoezi ni kinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza

21 October 2024, 7:35 pm

Na Steven Noel.

Jamii inanaweza kuepuka magonjwa yasiyo ya kuambukiza kwa kujiwekea urtaratibu wa ratiba ya mazoezi mara kwa mara.

Wakizungumza kutoka katika kiwanja cha mazoezi Chazungwa wilayni Mpwapwa , wanakikundi wa Mazai Jorging Club na Mpwapwa Jorging wanaelelzea umuhimu wa kufanya mazoezi.  

Pichai mwanakikundi akielezea umuhimu wa kufanya mazoezi
Sauti za wanakikundi

Ebdapo jamii itajiwekea utaratiibu wa kufanya mazoezi mara kwa mara itaweza kuepuka magonjwa yasiyo ya kuambukizwa kama vile shinikizo la juu la damu, magonjwa ya moyo,  kisukari pamoja na na magonjwa ya  figo .

Pichai mwanakikundi akielezea umuhimu wa kufanya mazoezi