Dodoma FM

Miundombinu ni kikwazo elimu jumuishi

15 October 2024, 7:29 pm

Na Noel Steven.

Utekelezaji wa elimu jumuishi hapa nchini unakabiliwa na changamoto ya miundombinu thabiti inayowezesha wanafunzi mwenye mahitaji maalumu kuchangamana katika kupata elimu.  

Wadau wa utekelezaji wa mpango wa Elimu jumuishi wamesema kuwa kuna ulazima vikwazo vya kisera, kimtazamo na mazingira viondolewe Ili kufikia malengo.

Pichani Dkt Idephonce Mkama kutoka chuo kikuu cha  Mt. Agustino Kampasi ya Tabora
Sauti ya Dkt Idephonce Mkama

Kwa upande wake Mkuu wa Shule ya Sekondari Mpwapwa Mwl Omary Tawakal  amebainisha changamoto wanazokabiliana nazo katika mpango wa elimu jumuishi.

Mkuu wa shule ya Sekondari Mpwapwa Mwl. Omary Tawakal
Sauti ya Mwl. Omary Tawakal
Pichani mwanafunzi wenye mahitaji maalumu akiwa katika darasa jumuishi