Dodoma FM

Uwiano kazi za nyumbani wahitajika mtoto wa kike kufanikiwa kielimu  

11 October 2024, 7:25 pm

Mgawanyo sawa wa kazi za nyumbahi wahahitajika mtoto wa kike kufanikiwa kielimu

Majukumu mengi ya kazi za nyumbani kwa mtoto wa kike imetajwa kuwa sababu inayorudisha nyuma maendeleo ya elimu.

Afisa Miradi kutoka  Action For community care Fatma Kibasa amesema kuwa majukumu kwa mtoto wa kike ni suala la kawaida lakini majukumu hayo yakizidi  inaweza kupelekea mtoto wa kike kushindwa kufanya vizuri shuleni.

Afisa Miradi kutoka  Action For community care Bi. Fatma Kibasa
Sauti ya Bi. Fatma Kibasa

Aitha Bi Fatma ameeleza jitihada walizofanya katika kuwafikia watoto wa kike wanao ishi Kibasa maeneo ya vijijini kwa  kushirikiana na Serikali.

Sauti ya Bi. Fatma Kibasa

Sanjari na hayo Bi Fatma Kibasa amewashauri wazazi kuwa na  mgawanyo wa kazi kwa usawa kwa pande zote mbili kwa watoto wa kiume na wa kike.