Dodoma FM

Dodoma yapata tuzo uboreshaji mazingira ya biashara na uwekezaji

8 October 2024, 6:35 pm

Na Mariam Kasawa.

Mkoa wa Dodoma umepokea tuzo ya TNBC  kutokana na kufanikiwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji.

Akiongea wakati wa kupokea tuzo hiyo Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema tuzo hii ni heshima kubwa kwa mkoa na inatoa ari ya kuendelea kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji. Tuzo hiyo ilikabidhiwa katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa Octoba 7 mwaka huu na Bwn.Vivian Komu Mwenyekiti wa Chember of Commerce (TCCIA) Mkoa wa Dodoma.

Pichani Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule
Sauti ya Mhe. Rosemary Senyamule

Awali akitoa taarifa ya Tuzo hiyo Bwn.Vivian Komu Mwenyekiti wa Chember of Commerce (TCCIA) Mkoa wa Dodoma alikuwa na haya yakusema.

Pichani aliyeshika tuzo ni Bwn.Vivian Komu Mwenyekiti wa Chember of Commerce (TCCIA) Mkoa wa Dodoma
Sauti ya Bwn.Vivian Komu

Kwa upande wake Bwn. Ringo Ringo Mtendaji wa TCCIA Mkoa wa Dodoma anasema tuzo hii ili inaongeza ari ya kujituma kwa wafanyabiashara, na sekta binafsi ili kuendelea kuleta maendeleo.

Pichani Bwn. Ringo Ringo Mtendaji wa TCCIA Mkoa wa Dodoma
Sauti ya Bwn. Ringo Ringo
Pichani ni washiriki wakati wa kubadhiwa kwa tuzo kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule