Radio Tadio

Biashara

30 May 2023, 4:29 pm

Wananchi waomba maboresho soko la kimataifa Kibaigwa

Soko la kimataifa la Kibaigwa ni utambulisho wa wilaya ya Kongwa kimataifa hivyo lazima litunzwe kama chanzo cha mapato. Na Bernadetha Mwakilabi. Wafanyabiashara wadogowadogo katika soko la mazao la kimataifa la Kibaigwa wilayani Kongwa wameiomba serikali kufanya maboresho ya kisasa…

23 May 2023, 6:30 pm

Wakazi wa Chaduru waomba serikali ikamilishe soko la Tambukareli

Miundombinu ya soko hilo inaelezwa  kuwa mibovu na kusababisha wafanyabiashara kushindwa kufanya biashara ndani ya eneo hili. Na Thadei Tesha. Baadhi ya wananchi wa kata ya Chaduru jijini Dodoma wameiomba serikali kukamilisha kwa haraka miundombinu ya soko la Tambukareli ili…

12 May 2023, 18:00 pm

Brela yawapiga msasa maafisa biashara mikoa 10

Na Msafiri Kipila Wakala wa leseni za biashara Brela wameendesha mafunzo ya siku 3 kwa maafisa biashara wa mikoa 10 ya kanda ya kusini na nyanda za juu kusini, yamefanyika hapa mkoani Mtwara lengo ikiwa ni kutatua changamoto zinazo wakabili.Wakizungumza…

8 May 2023, 4:54 pm

Bei ya kabichi shambani yawaliza wafanyabiashara

kwa sasa wastani wa bei ya kabichi ni kuanzia shilingi 1500 hadi 2000 huku wachache wakiuza kwa bei kati ya shilingi 1000 hadi 1500 kwa kabichi moja. Na Thadei Tesha. Baadhi ya wafanyabiashara wa Mboga mboga aina ya kabichi Jijini…

5 May 2023, 4:38 pm

Wafanyabishara Maisha plus waiomba serikali kufanya ukarabati

Baadhi ya wafanyabiashara wanasema kuwa  viongozi hao wamekuwa wakiahidi kupatia ufumbuzi baadhi ya changamoto hizo bila ya kutekeleza ahadi hizo. Na Thadei Tesha. Baadhi ya wafanyabiashara wa matunda na mbogamboga  katika soko la maisha plus jijini Dodoma wameiomba serikali kufanya…