Dodoma FM

Tehama yarahisisha utoaji huduma sekta ya afya

2 October 2024, 8:57 pm

Na Mindi Joseph

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko amepogeza  jinsi tehama ilivyorahisisha utoaji wa huduma za  afya kwa jamii.

Ameyasema hayo leo jijini Dodoma katika Kongamano la 37 la kisayansi la wataalamu wa Maabara wa Afya Nchini  na kongamano la 23 la kisayansi la Huqasn na Mkutano wa Mwaka.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko
Sauti ya Dkt. Dotto Biteko

Aidha  muwakilishi kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ameeleza jinsi Serikali ilivyowekeza katika sekta ya afya,

Muwakilishi kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Sauti ya Muwakilishi kutoka Ofisi ya Rais

Kongamano la 37 la kisayansi la wataalamu wa Maabara wa Afya Nchini  na kongamano la 23 la kisayansi la Huqasn na Mkutano wa Mwaka limehusisha wataalamu mbalimbali ikiwemo Nchini zambia Kenya,Malawi Uganda.

Pichani washiriki wa Kongamano la 37 la kisayansi la wataalamu wa Maabara wa Afya