Dodoma FM

Maafisa ugani wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma wapigwa msasa

27 September 2024, 8:42 pm

Na Fred Cheti.

Maafisa ugani wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma wametakiwa kutumia mafunzo waliyopatiwa kuhusu mfumo wa fursa na vikwazo vya maendeleo katika kuisaidia jamii kukua kiuchumi.

Wito huo umetolewa na Bwn. Briani Samweli Mkufunzi wa Mafunzo kutoka Ofisi ya Rais Tamisem

Bwn Briani Samweli Mkufunzi wa Mafunzo kutoka Ofisi ya Rais Tamisem
Sauti ya Bwn Briani Samweli
Bi Tatu Omari wawezeshaji waandamizi kutoka mfuko wa fursa na vikwazo kwa maendeleo
Sauti ya Bi Tatu Omari

Bi Tatu Omari ambaye ni mmoja wa wawezeshaji waandamizi kutoka mfuko wa fursa na vikwazo kwa maendeleo ulioboreshwa  anaeleza faida za kuwa na mafunzo hayo.