Radio Tadio

Mafunzo

1 October 2026, 16:59

Wazee watakiwa kurejea katika nafasi ya kujenga maadili

Itakumbukwe kuwa kila octoba mosi ni siku ya wazee duniani licha ya kukua kwa tecknolojia na utandawazi bado tunapaswa kuwachukulia wazee kama tunu na kutumia busara zao na maarifa kujenga na kuendeleza mambo mbalimbali. Na Daniel Njau. Katika jamii ambayo…

25 September 2026, 16:36

Migogoro ya familia yaweza kuathiri maendeleo ya watoto

Wito umetolewa na mkuu wa dawati la jinsia na Watoto wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma, ASP Christer Kayombo,akisisitiza wazazi umuhimu wa familia kuwa mazingira salama kwa watoto, ili kuwawezesha kukua katika malezi bora na kuendelea na masomo bila…

23 September 2026, 16:32

Wazazi watakiwa kuimarisha malezi ya watoto kujenga jamii bora

Baadhi ya wadau wa maendeleo ya jamii wamesema wataendelea kushirikiana na wizara hiyo kuhakikisha watoto wanapata malezi bora, huku wakichangia katika ujenzi wa jamii imara na yenye ustawi. Na Anwary Shabani. Wazazi wametakiwa kuimarisha usimamizi na malezi ya watoto wao,…

9 April 2026, 17:06

Viongozi wa umma watakiwa kuendelea kuzingatia maadili

Sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma ni taasisi iliyo chini ya ofisi ya rais kwa kusimamia maadili ya viongozi wa umma katika uwajibikaji wa shughuli mbalibali. Na Jerome John. Viongozi wa umma nchini wamekumbushwa kuendelea kuzingatia suala la maadili…

17 February 2026, 17:12

Wananchi watakiwa kuwaripoti viongozi wanaokiuka maadili

Mwananchi yeyote anao wajibu wa kutoa taarifa inayo muhusu kiongozi wa umma ambaye ameonesha mwenendo usio faa katika jamii na kiongozi huyo kuchukuliwa hatua za kinidhamu pindi atakapo gundulika kuwa ni kweli ametenda kosa la kimaadili. Na Jerome John. Wananchi…

12 February 2026, 16:37

Viongozi wa umma watakiwa kuonesha maadili mema

Vile vile afisa huyo ametoa rai kwa wananchi kutosita kutoa maoni pamoja na taarifa pindi wanapoona kuna viongozi wanakiuka misingi ya maadili ya umma na hatua za kisheria kuchukuliwa dhidi ya kiongozi au viongozi hao. Na Jerome John.Viongozi wa umma…

10 November 2025, 15:36

Mmomonyoko wa maadili wapelekea vijana kutoaminika

Kwa mujibu wa tafiti zilizotajwa, mitandao ya kijamii inaonekana kuwa na athari kubwa zaidi kwa vijana walioko katika kipindi cha kubalehe, ikilinganishwa na muziki, filamu, au hata marafiki wa karibu. Na Farashuu Abdallah.Jamii imetakiwa kuwekeza kwa dhati katika malezi ya…

5 November 2025, 15:37

Ukosefu wa maadili ya dini kwa vijana ni hatari kwa Taifa

Wazazi wana jukumu la kuwapeleka watoto wao kuhudhuria madarasa ya dini ili kujenga jamii yenye hofu ya Mungu. Na Victor Chigwada. Imeelezwa kuwa kukosekana kwa maadili ya kidini kwa watoto na vijana kunaweza kuhatarisha usalama wa jamii na hata Taifa…

3 October 2025, 10:51

Watumishi wa umma watakiwa kuzingatia maadili kazini

Picha ya pamoja ya watumishi wa umma na Naibu Katibu Mkuu Bi. Hilda Kabissa alipokuwa akifungua kikao kazi cha sita cha wadau wa usimamizi wa maadili ya kitaaluma na utendaji. Picha na Selemani Kodima. Hili linajiri baada ya Ofisi ya…