Dodoma FM
Changamkia siku 5 za huduma ya macho bure
20 September 2024, 7:51 pm
Na Leonald Mwacha
Halmashauri ya jiji la Dodoma kwa kushirikiana na Sightsavers ambao ni wadau afya ya macho wanatarajia kutoa huduma ya afya ya macho kata ya Hombolo kwa siku tano kuanzia Jumatatu ya tarehe 23/09/2024 mpaka 27 /09/2024.
Fuatilia mahojiano haya na mwandishi wetu Leonard Mwacha akizungumza na na Daktari Huduma za Macho Jiji la Dodoma Hidaya Seleman ambapo kwanza anamuuliza lengo la kampeni hiyo na huduma zitakazotolewa.