Dodoma FM

DUWASA kutatua adha ya maji Ng’ong’ona

10 September 2024, 7:22 pm

Vifaa vya ujenzi wa miundombinu ya maji

Na Mindi Joseph .

Kukamilika kwa ujenzi wa matenki mawili ya maji yenye ujazo wa lita laki 5 katika mtaa wa Ng’ong’ona kata ya Ng’ong’ona Jijini Dodoma kutatatua adha ya maji kwa wananchi wa eneo hilo. Ujenzi wa matenki hayo mawili utakapokamilika utahudumia wakazi wa Ng’ong’ona na maeneo Jirani.

Mtaa huo wenye wakazi zaidi ya elfu 15 inawalazimu wakazi hao kutembelea umbali mrefu kupata huduma ya maji ambapo kwa sasa wanatumia maji ya chuo kikuu cha Dodoma .

Sauti za wananchi Ng’ong’ona

Mwenyekiti wa Mtaa wa Ng’ong’ona Isazack Mpali naye anabainisha jitihada zinazofanyika na kuanza kwa ujenzi huo.

Sauti ya Mwenyekiti wa Mtaa wa Ng’ong’ona Isazack Mpali
Ujenzi wa miundombinu ya maji unaendelea sehemu mbali mbali hapa nchini