Dodoma FM

Matumizi ya dawa bila vipimo ni hatari kwa afya

6 September 2024, 9:02 pm

Watu wanaotumia dawa bila maelekezo ya daktari wanatengeneza sumu inayoenda kuharibu ini pamoja na kusababisha figo kuchoka.

Na Mourine Swai. Daktari Gaudence Mathew kutoka Decca Polyclinic amesemakuwa zipo  athari za za kiafya zinazotokana na matumizi ya dawa bila ushauri wa daktari. Amesema kuwa watu wanaotumia dawa bila maelekezo ya daktari wanatengeza sumu inayoenda kuharibu ini pamoja na kusababisha figo kuchoka.

Sauti ya Daktari Gaudence Mathew

Daktari Mathew amewashauri wananchi kufanya matumizi ya  dawa kunakoendana na  maelekezo ya mtaalamu wa afya baada ya kufanyiwa vipimo.

Sauti ya Daktari Gaudence Mathew