Dodoma FM

Elimu zaidi yahitajika dhana ya usawa wa kijinsia

6 September 2024, 9:02 pm

Elimu zaidi yahitajika dhana ya usawa wa kijinsia

Na Mariam Kawasa. Yapo mambo mbalimbali yanayopelekea dhana ya usawa wa kijinsia isieleweke kwa jamii kutokana na uelewa hasi wa baadhi ya wananchi ambao kupitia matumizi mabaya ya dhana hii wamepelea vitendo vya ukatili kuendelea kukithiri katika baadhi ya jamii.

Ili mizizi ya usawa wa kijinsia ijengeke vema kwenye jamii, inapendekezwa  kuwa  elimu ya usawa wa kijinsia ianze kutolewa kuanzia ngazi ya chini ikiwemo shuleni ili kujenga uelewa zaidi pamoja na kubadilisha mitazamo katika jamii.

Sauti ya mdau
Sauti ya mwelimishaji