Dodoma FM

Maiti ya Kichanga yaopolewa kisimani

4 September 2024, 7:04 pm

Mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miezi mitatu hadi minne amekutwa ametupwa ndani ya kisima

Maiti ya Kichanga yaopolewa kisimani

Na Thadei Tesha. Mfulululizo wa matukio na visa vya ukatili vinavyoendelea kushuhudiwa katika maeneo mbalimbali hapa mkoani Dodoma.

Jeshi la uokozi na zima moto wamefanikiwa kuopoa maiti ya mtoto mchanga anayekadiria kuwa na miezi mitatu hadi minne aliyekutwa amefariki ndani ya kisima cha maji katika mtaa wa Muungano uliopo Nkuhunggu Jijini Dodoma.

Sauti ya mwananchi

Mwenyekiti wa Mtaa wa Muungano – Nkuhungu akijaribu akijaribu kuelezea maoni yake juu ya tukio hilo.

Sauti ya Mwenyekiti wa Mtaa wa Muungaano -Nkuhungu

Mashuhuda wa mkasa huu pia hawakusita kueleza hisia zao jinsi walivyoguswa na mkasa huu.

Uongozi wa mtaaa kupitia Mwenyekiti wake  umelaani tukio hili ambapo pia ameitaka jamii  kuachana na vitendo hivi.

Jeshi la Polisi lilifika katika eneo la tukio na kisha kuendesha zoezi la kutambua maiti hiyo na baada ya zoezi hilo kukamilika waliondoka na mwili wa marehemu kwa ajili ya taratibu za kipolisi.