Dodoma FM

Biashara ya kofia inavyowanufaisha wafanyabishara

16 August 2024, 2:12 pm

Picha ni jinsi maua ya kofia hizo yanavyochorwa kabla ya kushonwa.Picha na Fahari ya Dodoma.

Leo tuna hitimisha fahari ya Dodoma katika kata ya Kingale wilayani Kondoa kwa kutazama jinsi watengenezaji wa kofia hizi wanavyo nufaika kibiashara.

Na Yussuph Hassan.

Bi.Mwajuma Omary yeye hununua vitambaa vya kofia hizi kwa mzee Juma nakwenda kuzishona hapa anasimulia jinsi kazi hii alivyo ianza na inavyo mnufaisha.