Dodoma FM

Mazingira rafiki ya elimu yanavyosaidia kupunguza mimba za utotoni

14 August 2024, 6:10 pm

Sera inaelezaje kuhusu Mazingira Rafiki ya kupata elimu kwa Msichana.Picha na swahili times.

Leo tumezungumza na Mwl Shaban Kijoji ,mratibu elimu kata ya Mbabala na katibu wa maafisa Elimu halmashauri ya jiji la Dodoma kuhusu suala hili na hapa anaanza kwa kuelezea sera inaelezaje kuhusu Mazingira Rafiki ya kupata elimu kwa Msichana ili kupunguza Mimba za utotoni.

Na Seleman Kodima.
Tunaendelea kuangazia namna ambavyo mazingira rafiki ya wasichana kupata elimu yanasaidia kupunguza mimba za utotoni .

Utakumbuka Msikilizaji wiki moja nyuma tulizungumza na Mwanafunzi kutoka shule ya Sekondari Mbabala kuhusu jambo hili .