Dodoma FM

Leo tunaangazia Ukosefu wa elimu ya afya ya uzazi kwa Vijana

13 August 2024, 4:23 pm

kulingana na Utafiti wa Idadi ya Watu na Afya wa 2015-16, zaidi ya asilimia 95 ya vifo vya uzazi vinavyotokea katika nchi zinazoendelea viinasababishwa na ukosefu wa taarifa ya afya ya uzazi na ukosefu wa huduma bora wakati wa kujifungua hususani kwa vijana. Picha BMG media.

Kutokana hali hiyo Taswira ya Habari leo tunawatazama Vijana ambapo ni Wahanga wa ukosefu wa elimu hii .

Na Seleman Kodima.
Ukosefu wa Elimu ya afya ya uzazi imekuwa ikitajwa kama sababu ya kuongezeka kwa vitendo vya ukatili wa kijinsia katika jamii.

Katika kufahamu zaidi hili tumefanikiwa kufanya mahojiano na na Dkt Francis Andrew kutoka Hospitali ya Umati na hapa anaeleza zaid