Dodoma FM

Vijana na wanawake watakiwa kuigeukia fursa ya ufugaji na uvuvi

7 August 2024, 7:10 pm

Picha ni na Mratibu Programu ya Vijana kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi.Picha na Fred Cheti.

Nini kinachowakwamisha vijana kujikita katika Sekta ya Ufugaji?

Na Fred Cheti.
Vijana na Wanawake wametakiwa kuzigeukia fursa za Ufugaji na Uvuvi kupitia mitaji wanayopata badala ya Biashara pekee ili waweze kujikwamua kiuchumi wao na Taifa kwa ujumla.

Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule wakati na akizungumza na makundi mbalimbali katika Viwanja vya Maonesho ya Nanenane kuhusu fursa zilizopo katika Sekta ya Ufugaji.

Sauti ya Mhe. Rosemary Senyamule.

Dodoma TV Imefanya mahojiano na Mratibu Programu ya Vijana kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi ambapo hapa anaelezea ni fursa zipi Vijana watazipata wakiigeukia Sekta hiyo.

Sauti ya Mratibu Programu ya Vijana kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi.

Kwa upande wao Vijana wanasemaje nini kinachowakwamisha wengi wao kujikita katika Sekta ya Ufugaji?

Sauti za vijana.