Radio Tadio

Mifugo

30 January 2024, 7:48 pm

Wilaya ya Iringa kuongeza Bajeti ya Majosho ya Mifugo.

Halmashauri ya wilaya ya Iringa imejipanga kuhakikisha inajenga majosho katika maeneo mbalimbali ili kuwarahishishia wafugaji kutotembea umbali mrefu kwa ajili ya kuipeleka mifugo maeneo ya majosho yalipo. Hayo yamezungumzwa katika Baraza la Madiwani la Madiwani la Halmashauri hiyo lilipoketi kwa…

20 December 2023, 5:05 pm

Ng’ombe 14 wafa baada ya kunywa maji yenye sumu

Ng’ombe 14 wamekufa baada ya kusadikika kunywa maji yenye sumu katika kitongoji cha Mwenge. Na Ben Gadau – Katavi Ng’ombe 14 wamekufa baada ya kusadikika kunywa maji yenye sumu katika kitongoji cha Mwenge kijiji cha Sosaiti kata ya Magamba Manispaa…

19 November 2023, 5:37 pm

CCWT kuanza usajili wafugaji kwa njia ya kielektronik

Chama Cha Wafugaji Taifa (CCWT) ziarani nchi nzima kuhamasisha wafugaji kujisajili kwa njia ya kielektronik ili wafugaji hao wawe na chombo cha kuwaunganisha na kutatua matatizo yao. Na Alex Sayi. Chama Cha Wafugaji Taifa kimeendelea na ziara nchi nzima kwa…

2 November 2023, 11:12 am

Wizi wa mifugo washamiri Chinangali 2

Na Mindi Joseph. Wimbi la wizi wa mifugo limeendelea kushika kasi katika Kijiji cha Chinangali 2 wilayani chamwino mkoani Dodoma ambapo Mifugo hiyo huibiwa na kuchinjwa nyakati za usiku. Katika kipindi cha Miezi 10 ndani ya  Mwaka huu 2023 ng’ombe…

26 October 2023, 5:48 pm

Maswa:Kinamama waaswa kuchangamkia fursa za ufugaji wa samaki

Kinamama toka jamii za wafugaji wameaswa kujiunga na chama cha wafugaji ili waweze kujikwamua kiuchumi. Na Alex Sayi. Chama cha wafugaji Wilayani Maswa Mkoani Simiyu kimetoa wito kwa wanawake wanaoishi kwenye jamii za wafugaji kuchangamkia fursa za ufugaji wa Samaki…

15 July 2023, 11:35 am

Kakakuona aonekana Iringa Atabiri

Na Hafidh Ally Mnyama aina ya Kakakuona aliyemtabiria Mkulima Mkazi wa Kijiji cha Ihemi kupata mafanikio kupitia zao la Parachichi amekabidhiwa katika idara ya Wanyamapori Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Akizungumza wakati wa kumkabidhi Mnyama hiyo ambaye alimuokota akiwa shambani…

6 July 2023, 11:29 am

Simba waliozua taharuki Iringa warudi hifadhini

Na Hafidh Ally BAADHI ya Simba wala mifugo waliotokea Hifadhi ya Taifa ya Ruaha na kuzua taharuki kwa wananchi mkoani Iringa kwa zaidi ya siku 64 wanadaiwa kurudi hifadhini humo. Akizungumza na kituo hiki  Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, Kamishna…