Dodoma FM

Maandalizi ya Ngoma ya mambala

7 August 2024, 6:47 pm

Picha ni wakazi wa kata ya Kingale wakicheza ngoma hiyo inayoitwa mambala.Picha na Fahari ya Dodoma.

Ngoma hii haiwezi kuchezwa kama mwanamke bado hajapata ujauzito.

Na Yussuph Hassan.

Yussuph amezungumza na mzee wa eneo hili la Kingale na hapa anaeleza maandalizi ya ngoma hii ya mambala inayochezwa na kabila la warangi hususani mama anapokuwa mjamzito na kujifungua salama.

Picha ni mzee wa eneo hilo akieleza maandalizi ya ngoma ya mambala.Picha na Fahari ya Dodoma.