Dodoma FM

Leo tunaangazia maendeleo katika kata ya Kingale

5 August 2024, 6:00 pm

Picha ni wenyeji wa kata ya Kingale wakicheza bao.Picha na Fahari ya Dodoma.

Wakazi wa eneo hili asili yao ni kabila la warangi kupitia fahari ya Dodoma tutafahamu asili ya kabila hili la warangi.

Na Yussuph Hassan.

Kata ya Kingale kwasasa imekuwa na mabadiliko makubwa tofauti na kipindi cha nyuma kwani kwa sasa huduma za kijamii zote zinapatikana katika eneo hili ikiwemo miundombinu mizuri.

Wakazi wa eneo hili bado wanaendelea kudumiisha mila na desturi za kabila lao.