Dodoma FM

Leo tunatazama asili ya kata ya Kingale

02/08/2024, 18:09

Picha ni wenyeji wa kata ya Kingale iliyopo wilayani Kondoa Mkoani Dodoma. Picha na Fahari ya Dodoma.

Yussuph Hassan ametembelea Kingale na kuzungumza na wenyeji wa eneo hilo.

Na Yussuph Hassan.

Kata hii inapatikana katika wilaya ya Kingale leo tutafahamu zaidi wenyeji wa kata hii pamoja na asili ya jina kingale.