Dodoma FM

Bado tunautazama Mtaa wa Swaswa

1 August 2024, 4:38 pm

Picha ni bwawa Uswaswa bwawa la asili linalopatikana katika mtaa wa Swaswa.Picha na Fahari ya Dodoma.

Tuna vijana ambao wamepewa mafunzo na inspekta wa kituo cha polisi hapa mtaani hii inasaidia sana kuhakikisha usalama na ulinzi wa hapa.

Na Yussuph Hassan.
Na leo tena katika kipindi chetu tunaendelea kuangalia ni kwa jinsi gani mtaa huo umebarikiwa mandhari mazuri na yenye kuvutia kwa kiasi ambacho watalii na wafanyabiashara unawafaa kwa matumizi yao.

Mwenyeji wetu ambaye ni mwenyekiti amesema kuwa maendeleo ya hapo ya nachochewa na elimu bora kwa vijana wao,ulinzi mzuri na miundombinu iliyotukuka.

Picha ni mwenyekiti wa mtaa wa Swaswa Bw. Charles Nyuma .Picha na Fahari ya Dodoma.