Dodoma FM

Mpangilio wa maendeleo katika mtaa wa Swaswa

31 July 2024, 5:48 pm

Picha ni muonekano wa mtaa wa Swaswa .Picha na Fahari ya Dodoma.

Wataalamu wamekwisha kuwasili kwaajili ya kuanza maboresho mara moja.

Na Yussuph Hassan.
Na leo moja kwa moja katika kipindi chetu cha FAHARI YA DODOMA tumeangazia moja ya mtaa maarufu unaopatikana jijini Dodoma unaojulikana kwa jina la Swaswa ambao tumekwisha kuona asili ya jina hili la Swaswa na aina ya wakazi wanao ishi hapo na leo tutaangalia jinsi mipango ya serikali na viongozi wa mtaa wanapangilia maendeleo ya mtaa huo