

30 July 2024, 7:24 pm
Yussuph Hassani amezungumza na mwenyekiti wa mtaa huo juu ya mradi wa eneo hilo.
Na Yussuph Hassan.
Tupo mtaa wa Swaswa leo mwenyekiti wa mtaa huo Bw. Charles Nyuma anazungungumzia mradi wa mapumziko ambao unatarajiwa kujengwa katika eneo hilo.