Dodoma FM

Jamii yaomba elimu zaidi ugonjwa wa homa ya ini-Makala

29 July 2024, 8:07 pm

Picha ni Daktari bingwa na mbobezi Magonjwa ya ndani ikiwemo Ini.Picha na Steven Noel.

Jamii imetakiwa kuchukua tahadhari na kupata vipimo au chanjo.

Na Steven Noel.
Jamii imeombwa kuendelea kuelimishwa juu ya ugonjwa wa homa ya ini ili iendelee kuchukua tahadhari na kupata vipimo au chanjo.

Akiongea na Dodoma FM daktari bingwa na mbobezi wa magonjwa ya ndani ikiwemo ini amesema jamii bado haina uelewa wa kutosha dhidi ya ugonjwa wa homa ya ini na namna unavyoambukizwa.