Dodoma FM

Unawajibikaje kuhakikisha msichana aliyejifungua anarudi shule?

22 July 2024, 7:05 pm

Picha ni mwanafunzi ambae ni mjamzito .Picha na LHCR.

Mimba za utotoni ni pale mtoto wa kike wa kuanzia umri wa miaka 10 hadi 19 anapopata ujauzito na kujifungua.

Na Mwandishi wetu.

Katika kuchimba suala hili, leo tumefanya mahojiano na Meneja Utafiti  na Uchambuzi wa Sera kutoka taasisi ya  HakiElimu Bw. Mwemezi Makumba na hapa  anaeleza zaidi.