Dodoma FM

Ujenzi ofisi serikali ya mtaa Chang’ombe kuongeza ufanisi kiutendaji

18 July 2024, 4:04 pm

Ujenzi huo ulianza kwa nguvu za wananchi kufuatia changamoto ya eneo hilo kukosa ofisi.Picha na George John.

Wamepokea Tsh milioni 30 kutoka serikalini ili kukamilisha ujenzi huo.

Na Mindi Joseph.
Ujenzi wa ofisi ya serikali ya mtaa katika kata ya Chang’ombe Juu unatajwa kuongeza ufanisi katika utendaji kazi pamoja na kuwahudumia wananchi.

Ujenzi huo ulianza kwa nguvu za wananchi kufuatia changamoto ya eneo hilo kukosa ofisi ya mtaa kama anavyoeleza Mjumbe wa Kamati ya ujenzi Anthony Kalago.

Sauti ya Anthony Kalago.

Kwa upande wa wananchi walioshiriki katika ujenzi wa ofisi hiyo wanasema.

Khamis Kindamba ni Mwenyekiti wa changombe Juu anasema kabla ya ujenzi wa ofisi walikuwa wamepanga.

Sauti ya Khamis Kindamba.

Kwa upande wa Diwani wa kata ya Chang’ombe Bakari Fundikila anasema wamepokea Tsh Milioni 30 kutoka serikalini ili kukamilisha ujenzi huo.

Sauti ya Bakari Fundikila.