Radio Tadio

Ujenzi

1 October 2026, 18:53

Wazee:Tutumieni kama hazina ya maarifa na uzoefu

Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazee Wastaafu Zanzibar, Amour Haji Nassor, amesema maadhimisho ya Siku ya Wazee ni fursa muhimu kwa wazee kueleza changamoto zao na kutoa mawazo yanayoweza kusaidia jamii. Aidha, Amour ameishukuru Serikali kwa kusikiliza na kushughulikia baadhi…

2 September 2026, 14:02

Ikwambi waishukuru serikali kwa kupata umeme

“Tunaishukuru Serikali kutufikishia umeme katika kitongoji chetu itatusaidia kukuza biashara, viwanda vidogo na shughuli za ujasiriamali.”-Wananchi Ikwambi Na Kuruthum Mkata. Wananchi wa Kitongoji cha Ikwambi, Kijiji cha Sululu, Kata ya Signal wilayani Kilombero, wameishukuru Serikali kwa kuwafikishia huduma ya umeme…

19 August 2026, 22:36

Mtoto wa miaka 5 auawa kikatili Maswa, walidai mil 7 kumwachia

“Ndiyo kila nafsi itaonja mauti lakini kifo cha Samike kimezua simanzi katika kijiji cha Gulumwashi huku wananchi wakisubiri matokeo ya uchunguzi wa polisi na hatua za kisheria dhidi ya watuhumiwa waliokamatwa”. Na,Daniel Manyanga  Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka…

1 August 2026, 22:40

Polisi Kusini Unguja wapeleka tabasamu kwa watoto yatima

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja limetoa msaada wa mahitaji mbalimbali kwa Kituo cha Watoto Yatima cha Maftuh Foundation, Kibele, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Polisi Jamii na kuonesha dhamira ya kushirikiana na jamii. Kamanda wa…

22 July 2026, 14:20

Viongozi wa dini wapewa elimu ya kujikinga na ebola Kigoma

Elimu ya kujikinga ya ugonjwa wa ebola imeendelea kutokelewa kwa jamii ili kuhakikisha wananchi wanachukua tahadhali za kujikinga na ugonjwa wa ebola na mpaka hakuna taarifa za uwepo wa ugonjwa huo nchini Na Mwandishi wetu Mganga Mkuu wa Mkoa wa…

18 June 2026, 12:40

Mwenyekiti atuhumiwa kwa ubadhilifu wa fedha

Na Fredrick Siwale Wananchi wa Mtaa wa Mji Mwema mjini Mafinga wamemlalamikia aliyekuwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa huo kwa tuhuma za kuhujumu fedha zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya ununuzi wa vyombo vya msiba. Mwenyekiti wa sasa wa Serikali ya…