Radio Tadio

Ujenzi

6 October 2025, 1:58 pm

Vijana Geita waeleza kwanini Oktoba 29 watatiki

Vijana hao wameeleza kuwa hawatashiriki katika vurugu, maandamano yasiyo ya lazima au propaganda za kisiasa. Na Mrisho Sadick: Vijana kutoka makundi mbalimbali ikiwemo vyuo na shule za sekondari katika Manispaa ya Geita Mkoani Geita wamesema wako tayari kushiriki kikamilifu katika…

12 September 2025, 4:34 am

TAKUKURU Geita yawafunda wasimamizi wa uchaguzi

Tanzania inajiandaa na Uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 ambapo rai imetolewa kwa wasimamizi wa uchaguzi kuepuka vitendo vya Rushwa. Na: Edga Rwenduru Taasisi ya kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Geita imewaonya wananchi na wasimamizi wa uchaguzi watakaobainika…

4 September 2025, 10:19 am

Majimbo 7 kati ya 9 Geita hayana wagombea upinzani

Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita kimezindua rasmi kampeni za kunadi ilani ya chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, mwaka huu. Na: Edga Rwenduru Uzinduzi wa kampeni hizo umefanyika Septemba 02, mwaka huu Katika kata ya…

12 August 2025, 1:38 pm

Uchafu wa mighahawa kero kwa walaji Katavi

Moja ya mgawaha uliopo mtaa wa Mpanda hotal. Picha na Roda Elias ” Unakula chakula unakaa kidogo unaenda kununua flajiri” Na Roda Elias Baadhi ya walaji wa vyakula katika migahawa inayopatikana kata ya Mpanda hotel manispaa ya Mpanda mkoani Katavi…

27 March 2025, 9:58 pm

Wanawake Hanang’ wapata elimu ya uandaaji lishe 

Baadhi ya wanawake wilayani Hanang mkoani Manyara wamefundishwa namna ya kuandaa lishe bora ili kudhibiti tatizo la udumavu kwa watoto. Na Mzidalfa Zaid Katika kuhakikisha watoto wanakuwa na lishe bora, jamii wilayani Hanang mkoani Manyara imeshauriwa kuhifadhi vyema mazao,kwa kuhakikisha…

27 March 2025, 9:54 am

Mbunge Kishimba ashauri mazao mengine kuongezwa KACU

Mbunge wa Jimbo la Kahama mjini Jumanne Kishimba akiwa anazungumza katika mkutano mkuu wa 29 wa KACU. (Picha na Sebastian Mnakaya) ”Wakulima wengi walioko kwenye chama kikuu cha ushirika wilaya ya Kahama (KACU) ni wa pamba na tumbaku, je, wanaolima…

15 March 2025, 1:29 pm

Waipongeza Sengerema FM kwa kutoa elimu ya ugonjwa marburg

Serikali ya Tanzania kupitia Waziri wa Afya nchini Mh. Jenista Mhagama imetangaza kufanikiwa kuudhibiti ugonjwa wa marburg, ambao ulitangazwa kuibuka nchini mwezi Januari 2025 katika halmashauri ya wilaya ya Bihalamulo mkoani Kagera. Na,Elisha Magege Kufuatia Serikali ya Jamhuri ya Muungano…