Radio Tadio

Ujenzi

1 August 2026, 22:40

Polisi Kusini Unguja wapeleka tabasamu kwa watoto yatima

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Unguja limetoa msaada wa mahitaji mbalimbali kwa Kituo cha Watoto Yatima cha Maftuh Foundation, Kibele, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Polisi Jamii na kuonesha dhamira ya kushirikiana na jamii. Kamanda wa…

22 July 2026, 14:20

Viongozi wa dini wapewa elimu ya kujikinga na ebola Kigoma

Elimu ya kujikinga ya ugonjwa wa ebola imeendelea kutokelewa kwa jamii ili kuhakikisha wananchi wanachukua tahadhali za kujikinga na ugonjwa wa ebola na mpaka hakuna taarifa za uwepo wa ugonjwa huo nchini Na Mwandishi wetu Mganga Mkuu wa Mkoa wa…

18 June 2026, 12:40

Mwenyekiti atuhumiwa kwa ubadhilifu wa fedha

Na Fredrick Siwale Wananchi wa Mtaa wa Mji Mwema mjini Mafinga wamemlalamikia aliyekuwa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa huo kwa tuhuma za kuhujumu fedha zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya ununuzi wa vyombo vya msiba. Mwenyekiti wa sasa wa Serikali ya…

May 12, 2026, 4:31 pm

Polisi, wananchi waungana kudhibiti uhalifu Muleba

Lengo la kushirikisha jamii ni kupata taarifa sahihi za uharifu na kubaini matishio mapema ya kiusalama badala ya kufanya kazi peke yao. Na Shafiru Yusuph- Muleba, KAGERA Jeshi la Polisi nchini limesema uwepo wa Polisi Jamii imesaidia kupunguza vitendo vya…

20 April 2026, 13:16

RC Kigoma ahimiza weledi mabaraza ya ardhi, nyumba

Wajumbe hawa wa mabaraza ya ardhi na nyumba ni sehemu ya mfumo wa haki unaolenga kutatua migogoro ya ardhi kwa haraka, kwa gharama nafuu, na kwa kuzingatia mazingira ya jamii husika. Na Mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi…

11 April 2026, 05:52

Wanaume Simiyu wafanyiwa ukatili wa kijinsia

Wakati taarifa kutoka dawati la jinsia na watoto zikieleza kuwa idadi kubwa ya watu wanaofanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia ni wanawake na watoto, lakini hali ni tofauti kwa baadhi ya wanaume wa mkoa wa Simiyu, wakieleza kuwa wamepitia ukatili kutoka kwa wake…

9 January 2026, 10:26 am

Serikali yaahidi kuiboresha DIT

Kwa malengo ya kuongeza ubora wa taaluma Na Devi Moses SERIKALI imeahidi kuendelea kuboresha na kuendeleza Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam(DIT) Kampasi ya Songwe ili kuongeza ubora wa mafunzo ya ufundi nchini. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu,…

2 December 2025, 3:50 pm

Halmashauri ya Manispaa ya Geita yapata viongozi wapya

Leo Disemba 02, 2025 kikao cha kwanza cha baraza la madiwani kimefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Dkt. Samia Suluhu Hassan eneo la Bombambili manispaa ya Geita. Na: Ester Mabula Baraza la madiwani la halmashauri ya manispaa ya Geita limeketi…