Dodoma FM

Familia zifanye nini kuwezesha hedhi salama kwa wasichana na wanawake?

28 May 2024, 5:09 pm

Kwa pamoja tuweke mazingira rafiki na endelevu kwa hedhi salama”.Picha na Dira Makini.

Tunaona jitihada za wadau mbalimbali ikiwemo wizara ya afya katika kuelimisha jamii juu ya kuweka mazingira wezeshi kwa mabinti na wanawake ili waweze kupa hedhi salama pamoja na kuvunja ukimya kuzungumza juu ya suala la hedhi .

Na Mariam Matundu.
Ikiwa leo Dunia inaathimisha siku ya hedhi ambapo kwa mwaka huu imebebwa na kauli mbiu isemayo “kwa pamoja tuweke mazingira rafiki na endelevu kwa hedhi salama”.

Mariam Matundu amezungumza kwa njia ya simu na mtaalamu na mwanaharakati wa suala la hedhi salama bwana Japhet Jacksoni na anaanza kueleza familia zifanye nini ili kuwezesha hedhi salama kwa wasichana na wanawake .
clip interview………………..