Dodoma FM

Wanawake 300 kunufaika na mradi wa kujikwamua kiuchumi

21 May 2024, 3:19 pm

Mradi huu unatarajia kuwanufaisha wanawake wa wilaya ya Chamwino .Picha na Mindi Joseph.

Chemba ya Wanawake Wafanyabiashara Tanzania imeendelea kuboresha maisha ya wanawake kupitia ujuzi na namna ya uwekezaji na kutafuta masoko.

Na Mindi Jodeph.
Zaidi ya wanawake 300 wamenufaika na kujikwamu kiuchumi kupitia mradi wa uwezeshaji wanawake wajasiriamali Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma.

Mradi huu unaohusisha wanawake wa vijiji vilivyopo Wilayani humo wameendelea kuinuliwa kiuchumi kupitia mafunzo mbalimbali.

Mwenyekiti wa Chemba ya wanawake wajasiriamali Mkoa wa Dodoma Grace Onea amebainisha hayo.

Sauti ya Mwenyekiti wa Chemba ya wanawake .

Wanawake walionufaika kupitia mradi huu wabainisha namna fursa hiyo ilivyowainua kiuchumi.

Sauti za Wanawake walionufaika .