Dodoma FM
Teknolojia, utandawazi chanzo cha kukua kwa matatizo ya afya ya akili
17 May 2024, 12:06 pm
Watu wengi wana tatizo la afya ya akili lakini hawatambui.
Na Mindi Joseph.
Matatizo ya afya ya akili kwenye familia na jamii yametajwa kukua nchini kufuatia kukua kwa teknolojia na utandawazi.
Dodoma Tv imefanya mahojiano na Shabani Waziri kutoka chama cha wanasaikoljia Tanzania amesema watu wengi wanatatizo la afya ya akili lakini hawatambui.