Radio Tadio

Utandawazi

2 June 2026, 16:58

Wizara ya Maendeleo ya Jamii  yapokea mashauri ya ndoa 49,573

Kati ya mashauri hayo, 9,995 yalisuluhishwa na kufungwa, 8,036 yalipelekwa mahakamani na mashauri 31,542 yanaendelea kusuluhishwa. Na Bennard Komba. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima amesema wizara hiyo imepokea jumla ya mashauri elfu…