Dodoma FM
Yafahamu makundi na mgawanyiko wa majukumu ya nyuki kwenye mzinga
14 November 2023, 6:40 pm
Je Maisha ya Nyuki yapoje katika Mzinga.
Na Yussuph Hassan.
Nyuki wamegawanyika katika aina kuu mbili pamoja na mgawanyo wa majukumu katika kila koloni.Leo Afisa nyuki anatueleza makundi na aina ya majukumu ya nyuki kwenye makoloni yao.