Dodoma FM
Dodoma FM
21 April 2021, 12:50 pm
Na; Matereka Junior

Makocha wa timu zote mbili Dodoma jiji na Azam fc wamezungumzia maandalizi yao ya mwisho kuelekea mchezo wao wa kesho Alhamis katika uwanja wa Jamhuri.