Dodoma FM
Dodoma FM
12/04/2021, 14:06
Na; Matereka Junior

Ligi ya wilaya imeanza rasmi jana na mechi ya ufunguzi imewakutanisha kati ya WAGONGA NYUNDO 3-0 NZUGUNI RANGERS.
Katibu wa DUFA, Omarooh Omar amezungumzia kuanza kwa ligi hii. CLIP OMAROH