Dodoma FM
Dodoma FM
16/04/2021, 10:49
Na;Mindi Joseph . Mkurugenzi wa mamlaka ya udhibiti wa mbolea Tanzania (TFRA) Dtk.Stephane Ngailo amesema kuwa wataendelea kuhimiza na kuhamasisha wawekezaji kushirikiana na serikali ikiwemo kituo cha uwekezaji , kuwekeza katika ujenzi wa viwanda vya mbolea hapa nchini . Dkt.Ngailo…
16/04/2021, 09:57
Na; Shani Nicolous. Wafanyabiashara wa soko la majengo wamelalamikia kukosekana kwa vifungashio mbadala vilivyo elekezwa na Serikali vitumike . Akizungumza na Taswira ya habari Mwenyekiti wa soko la Majengo Bw.Hamis Bomu amesema kuwa vifungashio mbadala vinavyo takiwa kutumika havipatikani kwa…
15/04/2021, 14:14
Na; Matereka Junior. Kikosi cha Azam tayari kipo Dodom na msafara wa wachezaji 25 na benchi la ufundi kwaajili ya kucheza na Timu ya JKT Tanzania kesho saa nane mchana katika uwanja wa Jamhuri Dodoma.
15/04/2021, 13:55
Na; Benard Filbert. Serikali katika Kata ya Membe Wilayani Chamwino imetatua changamoto ya madarasa iliyokuwa ikikwamisha wanafunzi kujiunga na kidato cha kwanza 2021 kwa kujenga vyumba vya madarasa. Hayo yameelezwa na diwani wa Kata ya Membe Bw.Simon Petro wakati akizungumza…
15/04/2021, 13:34
Na; Selemani Kodima. Serikali imesema itaendelea kuwatambua wazee wenye umri wa miaka 60 na kuendelea wasio na uwezo ili kunufaika na sera ya matibabu bila malipo. Hayo yamesemwa leo bungeni na Naibu Waziri TAMISEMI Dkt Festo Dugange wakati akijibu swali…
15/04/2021, 12:23
Na; Mindi Joseph Jumla ya vijana elfu arobaini na nane Nchini wametajwa kunufaika na elimu ya usafi inayotolewa na Taasisi ya Raleigh Tanzania kupitia mradi wa vijana na mabadiliko chanya kitabia juu ya usafi. Akizungumza na Taswira ya habari mratibu wa…
15/04/2021, 11:42
Na; Victor chigwada Wakazi wa Hombolo wanao jihusisha na shughuli ya uvuvi wamelalamikia bwawa hilo kujaa tope na kupungua kina hali inayo sababisha vifo kwa wavuvi wanao kwama kwenye tope hilo. Wakizungumza na taswira ya habari wavuvi hao kutoka…
15/04/2021, 05:43
Na; Zania Miraji Karibu katika makala ya Amua inayokujia kila siku ya jumapili. tumezungumza na wadau mbalimbali ikiwa ni sahihi wasichana walio na umri mdogo kutumia njia za uzazi wa mpango ambapo wengi wameshauri kuwa ni vyema wakafundishwa elimu ya…
14/04/2021, 13:09
Na; Selemani Kodima Wizara ya kilimo imesema itaendelea kujikita zaidi kwenye kipaumbele cha kufanya tathimini na kukamilisha miradi ya umwagiliaji iliyopo ikiwemo kuangalia ufanisi wake na kukamilishi miradi ya maji ambayo wameshaianza. Hayo yamesemwa leo bungeni na Naibu waziri wa…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-