Dodoma FM
Dodoma FM
18 May 2021, 12:49
Na; Yussuph Hans Wananchi wametakiwa kuwa na imani na chanjo ya covid 19 Akizungmza na Dodoma fm mtaalamu wa uchunguzi tiba kitengo cha maabara kutoka hospitali ya KCMC Dkt.Ahmed Zubeir amesema kuwa katika matumizi ya tiba wakati mwingine huwa na…
18 May 2021, 09:02
Na; Benjamin Jackson Mtaa wa Nduka katika Kata ya Chamwino jijini Dodoma unakabiliwa na ubovu wa miundombinu ya maji taka yanayotiririka katika maeneo ya watu. Wananchi wa eneo hilo wameiambia Dodoma fm kuwa hali hii imekuwa ikijitokeza mara kwa mara…
18 May 2021, 07:58
Na; Ramla Shabani Baadhi ya wafanyabiashara wa ulezi jijini Dodoma wameelezea namna biashara hiyo inavyoshamiri kutokana na watumiaji wengi wa zao hilo wamesema kuwa zao la ulezi linatumiwa kwa wingi. Wakizungumza na taswira ya habari wamesema kuwa watu wengi wanatumia…
18 May 2021, 07:41
Na; Alfredy Sanga Baadhi ya vijana wameeleza jinsi ambavyo kijana anaweza kujiajiri na kutafuta fursa mbali mbali katika kujikwamua kimaisha, badala ya kutegemea kuajiriwa kutokana na ukosefu wa ajira nchini. Wakizungumza na taswira ya habari vijana hao wamesema kitu kikubwa…
17 May 2021, 13:40
Na; Yussuph Hans Ujuzi wa usimamizi wa masuala ya fedha pamoja na kukosa umiliki wa uchumi ni baadhi ya changamoto ambazo zimeendelea kuwakumba Wanawake Nchini. Licha ya changamoto hizo kumekuwepo na kundi la wanawake ambao wanamiliki Uchumi kupitia Ajira katika…
17 May 2021, 13:22
Na; Benard Filbert Kujengwa kwa chuo cha kilimo pamoja na soko la mazao la kimataifa katika Kata ya Mtanana Wilaya ya Kongwa imeelezwa itaongeza fursa nyingi za ajira kwa wananchi wa eneo hilo. Hayo yameelezwa na diwani wa Kata hiyo…
17 May 2021, 12:26
Na; Yussuph Hans Zaidi ya shilingi Bilion 635 kutoka Mfuko wa Barabara zimetengwa kwa ajili ya matengezo ya Barabara Nchini kwa kipindi cha Mwaka 2021/22. Hayo yamebainishwa leo bungeni na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mh Leonard Madaraka Chamuriho wakati…
17 May 2021, 11:56
Na; Shani Nicolous Wakazi wa kata ya Kikuyu kaskazini jijini Dodoma wamelalamikia ubovu wa miundombinu ya barabara katika Kata hiyo hali inayosababisha ugumu wa usafiri hasa msimu wa mvua wa mvua. Wakizungumza na Dodoma fm wakazi hao wamesema kuwa ni…
13 May 2021, 13:00
Na;Mindi Joseph. Moja ya changamoto inayotajwa kuwakabili wahanga wa ukatili wa kijinsia ni kusubirishwa kwa muda mrefu wanapokwenda hospitali kupatiwa matibabu wakati mwingine kutopata matibabu. Ili kufahamu kiini cha changamoto hiyo na hatua wanazochukua pindi wanapowapokea wahanga wa vitendo hivyo…
13 May 2021, 12:13
NA; SHANI NICOLOUS. Wito umetolewa kwa mama lishe jijini Dodoma kuzingatia usafi katika shughuli zao, hususani wa vijiko vinavyotumika kulia chakula ili kuepusha maambukizi ya ugonjwa wa homa ya ini. Akizungumza na Taswira ya Habari daktari kutoka Hospitali ya Benjamini…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-