Dodoma FM
Dodoma FM
25 October 2021, 11:02
Na; Benard Filbert. Kutokana na vijana wengi kujikita Zaidi katika shughuli za utafutaji wa Maisha pindi mipango hiyo inaposhindwa kukamilika imeelezwa kuwa husababisha tatizo la msongo wa mawazo. Hayo yameelezwa na Nuru Julius ambaye ni mtaalamu wa saikolijia kutoka Chuo…
25 October 2021, 10:48
Na; Alfred Bulahya. Jamii imetakiwa kuacha tabia ya kuvaa miwani ya urembo bila kufanya uchunguzi wa miwani hiyo ili kuepusha kupata magonjwa yasiyo ya lazima. Wito huo umetolewa na mtaalamu wa afya kutoka hospital ya rufaa ya mkoa wa Dodoma…
23 October 2021, 15:23
Na;Mindi Joseph . Baraza La Madaktari Tanganyika limeridhia na kuruhusu kufanyika kwa Mtihani Maalumu Kwa Wanafunzi Wa Udaktari Wanaotarajia Kujiunga Na Utarajali Huku Nafasi Hiyo ikilenga tu wale Waliokutana Na Changamoto Wakati Wakifanya Usajili Lakini Hawakuwa Na Vigezo. Akizungumza na…
23 October 2021, 14:48
Na;Yussuph Hans. Asasi za kiraia Nchini zimetakiwa kuwa chachu ya kuleta maendeleo kwa kuisadia Serikali katika mipango mbalimbali ili kuwafikia wananchi wengi zaidi. Rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Haki Rasilimali Racheal Chagonja wakati akizungumza na Dodoma Fm katika…
23 October 2021, 14:39
Na;Mindi Joseph . Spika Wa Bunge La Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mh.Job Ndugai amezitaka Asasi Za Kiraia Nchini kutokutumika na badala yake zifanye Kazi Kwa Weledi na Uadilifu. Akizungumza Leo Jijini Dodoma Spika wa Bunge Job Ndugai wakati wa…
22 October 2021, 12:27
Na; Fred Cheti. Kukosekana kwa utu inatajwa kuwa chanzo cha kushamiri kwa biashara ya dawa za kulevya duniani kote kwa kua biashara hiyo inatajwa kudhalilisha utu na heshima ya binadamu. Hii ni kulingana na shirika la habari la kidini la…
22 October 2021, 12:15
Na;Yussuph Hans. Licha ya Serikali kuhakikisha Huduma ya upimaji Macho inapatikana katika vituo mbalimbali vya afya nchini, imeelezwa kuwa kasi ya kujitokeza kupima Afya ya Macho kwa Wananchi bado ndogo. Wakizungumza na Taswira ya Habari baadhi ya Wakazi jijini hapa,…
22 October 2021, 12:06
Na;Mindi Joseph. Ikiwa kesho ni Wiki ya Asasi za kiraia nchini AZAKI imetajwa kukua zaidi na kuchangia maendeleo endelevu nchini pamoja na wananchi. Akizungumza leo jijini Dodoma Nesia Mahenge Mkurungezi Mkazi CBM Tanzania amesema kila kwenye maendeleo ya nchi AZAKI…
22 October 2021, 11:54
Na; Shani Nicolous. Wito umetolewa kwa jamii kuacha tabia ya kutelekea watoto ili kupunguza wimbi la watoto wa mitaani. Wito huo umetolewa na mwanaharakati kutoka shirika lisilo la kiserikali la Kisedeti Ibrahm Mtangoo amesema kuwa wimbi kubwa la watoto wa…
21 October 2021, 14:05
Na; Benard Filbert. Imeelezwa kuwa endapo ukarabati wa barabara unaoendelea katika mtaa wa Karume Kata ya Mnadani jijini Dodoma utakamilika utapunguza usumbufu kwa wakazi hao hususani kipindi Cha Mvua. Hayo yameelezwa na baadhi ya wakazi wa mtaa huo wakati wakizungumza…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-