Dodoma FM
Dodoma FM
1 November 2021, 12:15
Na; Mariam Matundu. Watu wenye ulemavu wameshauriwa kuacha kujitenga na jamii ikiwa ni mbinu moja wapo ya kuepuka ukatili dhidi yao ikiwa ni pamoja na kutengwa na kuitwa majina dhalilishi. Hayo yamesemwa na mdau wa masuala ya watu wenye ulemavu…
1 November 2021, 11:21
Na;Shani Nicolous. Wito umetolewa kwa jamii kuzingatia masuala ya kiafya katika umuhimu wake kwa kupima afya zao mara kwa mara. Wito huo umetolewa na Mwasisi na Rais kutoka shirika la afya ya akili CMHI Dr. Joshua John amesema kuwa kuna…
28 October 2021, 12:43
Na; Alfred Bulahya. Baraza la madwani wa Jiji la Dodoma limempongeza Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan kwa kwa kulipatia fedha kiasi cha shilingi, billion 2, million 974 ,laki 672 na 970.48, kwa ajili ya…
28 October 2021, 11:17
Na;Mindi Joseph. Mhandisi wa Umwagiliaji amewataka viongozi katika Skimu za Umwagiliaji kusimamia kikamilifu zoezi la ukusanyaji ada na tozo kwa lengo la kutunisha mfuko wa Umwagiliaji. Akizungumza na Taswira ya habari kutoka Mkoani Iringa Mhandisi wa Umwagiliaji Onesmo Kahoggo amesema…
28 October 2021, 09:48
Na; Shani Nicolous. Tanzania inatarajia kutengeneza ajira milioni 987 Kutokana na ubia muendelezo na makampuni ya Madini. Akizungumza na Taswira ya habari Waziri wa Madini Dotto Biteko amesema kuwa Tanzania inatarajia kutengeneza ajira milioni 987 na mapato ya Dola za…
28 October 2021, 07:39
Na;Mindi Joseph. Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Anne Makinda ambaye ni Spika Mstaafu wa Bunge amezitaka Asasi za Kirai nchini kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa sensa kufuatia kuwepo upotoshaji wa sensa kuhusiana na chanjo ya…
25 October 2021, 16:13
Artículos Well, here we go again with another online casino review! And this time it’s a newcomer called Intense Casino! The folks at Nettikasinot360 remember when they used to sing about a little farm on the island of Saimaa, Intense…
25 October 2021, 12:46
Na;Mindi Joseph. Asasi za Kirai Nchini leo zimeketi pamoja katika mdahalo wa kujadili Mchango wake katika maendeleo ya Nchi na uchumi katika kuongeza pato la taifa na kupunguza umasikini kwa wananchi. Akizungumza leo katika Mdahalo huo Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation…
25 October 2021, 11:36
Na; Mariam Kasawa Serikali imesema kilo moja ya mbegu bora ya alizeti itauzwa kwa Sh.3,500 kwa wakulima ili kuinua kilimo hicho na kukabiliana na tatizo la upungufu wa mafuta ya kula nchini. Waziri wa Kilimo, Pro.Adolf Mkenda, aliyasema hayo kwenye…
25 October 2021, 11:28
Na; Shani Nicolous. Wito umetolewa kwa jamii kutumia mitandao ya kijamii kutafuta fursa mbalimbali ili kujikwamua kiuchumi. Wito huo umetolewa na katibu wa baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za mawasiliano Tanzania Rachel Charles Elio wakati akizungumza na Taswira…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-