Dodoma FM
Dodoma FM
8 December 2021, 13:07
Na;Mindi Joseph. Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imesema itaendelea kukabiliana na maadiliko ya tabianchi kwa kutumia teknolojia zinazotumia maji kidogo na kujenga miundombinu pamoja na mabwawa ya kutunza maji. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume hiyo Bw. Daudi Kaali amesema mabadiliko…
7 December 2021, 11:05
Na; Shani Nicolous. BODI ya Maabara Binafsi za Afya (PHLB) nchini inawasisitiza wamiliki na wataalamu wa maabara kote nchini, kusimamia ubora wa maabara zao ili kuleta huduma sahihi katika jamii. Hayo yamebainishwa jijini Dodoma na Msajili wa Bodi ya Maabara…
7 December 2021, 09:40
Na; Mariam Matundu. Watu wenye ulemavu wameitaka jamii kuacha dhana potofu ya unyanyapaa na kuwaona ni watu wasioweza kujieleza pale wanapofika katika maeneo kutoa huduma mbalimbali . Rajabu Mpilipili ni mkurugenzi wa taasisi ya Youth with disabilities organization na joyce…
3 December 2021, 10:20
Na; Benard Filbert. Wito umetolewa kwa jamii kujenga vyoo bora ili kuepuka adha ya kiafya ambayo inaweza kujitokeza. Wito huo umetolewa na afisa afya wa Jiji la Dodoma Abdallah Mahiya wakati akizungumza na taswira ya habari kuhusu utekelezaji wa kampeni…
30 November 2021, 13:17
Na; Dawati. Katika kipindi cha miaka 60 ya uhuru wa Tanzania bara, Nchi inatajwa kupata mafanikio makubwa kupitia sekta ya maliasili, mali kale na utalii ikiwemo kukuza na kuimarisha shughuli za utalii Nchini. Naibu Waziri wa maliasili na utalii Mh.…
30 November 2021, 12:56
Na; Yussuph Hans. Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imepongeza hatua ya serikali kuruhusu wanafunzi waliopata ujauzito kurudi shuleni baada ya kujifungua. Akitoa taarifa hiyo Jijini Dodoma Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora,…
30 November 2021, 12:34
Na; Mariam Matundu. Serikali inatarajia kuzindua ujenzi wa ofisi za Wizara awamu ya pili zinazojengwa katika mji wa Serikali pamoja na uzinduzi wa huduma za kijami ikiwemo uwekaji wa jiwe la msingi kituo cha polisi chenye hadhi ya daraja la…
29 November 2021, 13:56
Na; Fred Cheti. Serikali imesema kuwa itaendelea kushirikiana na Serikali ya Uganda katika mambo mbalimbali ikwemo katika masuala ya elimu na biashara ili kuendelea kukuza uhusiano uliopo baina ya nchi hizo. Hayo yamesemwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…
29 November 2021, 13:33
Na; Mindi Joseph. Wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga Taifa imesema itaendelea kuhakikisha kuwa mipaka ya nchi inakuwa salama huku akiwahimiza wananchi kushiriki kikamilifu katika ulinzi wa nchi. Akizungumza leo jijini Dodoma na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya…
29 November 2021, 13:05
Na; Shani Nicolous. Vijana wametakiwa kupunguza tabia hatarishi za maisha zinazosababisha kuogopa kupima Virus vya Ukimwi. Akizungumza na Taswira ya habari mtaalamu wa afya kutoka katika taasisi ya COHASO Teobad Abdon amesema kuwa vijana wengi wanajihusisha na mahusiano na watu…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-