Dodoma FM
Dodoma FM
31 January 2022, 16:02
Na ;Thadei Tesha. Baadhi ya wananchi jijini hapa wamesema ili kuhakikisha suala la usafi linapewa kipaumbele katika mitaa mbalimbali ya jiji viongozi wanatakiwa kuwa mstari wa mbele kuhimiza suala hilo. wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi jijini hapa…
31 January 2022, 15:19
Na; Neema Shirima. Imeelezwa kua umbali mrefu wa kufika shuleni umekuwa ni chanzo cha utoro kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Zuzu. Hayo yamesemwa na baadhi ya wananchi wa mtaa wa Chididimo katika kata ya Zuzu ambapo wamesema inawalazimu…
27 January 2022, 15:34
Na; Thadei Tesha. Imeelezwa kuwa miongoni mwa sababu zinazopelekea mwitikio wa wananchi kuchangia nguvu kazi katika miradi mbalimbali ya kimaendeleo kuwa mdogo ni pamoja na baadhi ya viongozi kusuasua kukamilisha miradi hiyo. Taswira ya habari imefanya mahojiano na baadhi ya…
27 January 2022, 15:24
Na; Pius Jayunga. Jamii imetakiwa kutambua kuwa ugonjwa wa ukoma unaambukizwa kwa njia ya hewa na hivyo kuna haja ya kuchukua tahadhari ikiwemo kuongeza mzunguko wa hewa katika makazi. Mratibu wa ukoma kutoka wizara ya afya Dr. Dues Kamara ameyasema…
27 January 2022, 14:45
Na ;Victor Chigwada. Wanafunzi wa kijiji cha Nzasa Kata ya Chiboli hulazimika kutembea kila siku Zaidi ya kilomita 15 kuifata shule ilipo. Wakizungumza na Dodoma Fm baadhi ya wananchi hao wamesema kuwa umbali mrefu umekuwa changamoto kwa wanafunzi wa umri…
26 January 2022, 16:16
Na; Neema Shirima. Baadhi ya wananchi katika Kata ya Nzuguni jijini Dodoma wameiomba Serikali iwaboreshee miundombinu ya barabara pamoja na daraja katika mto unaotenganisha Nzuguni A na B ambapo umekuwa changamoto wakati wa mvua. Wakizungumza na Taswira ya habari wananchi…
26 January 2022, 15:58
Na; Benard Filbert. Baadhi ya wadau wa afya wanaomiliki maduka ya dawa karibu na Hospitali za Serikali wametakiwa kuachana na vitendo vya hujuma kutokana na kutopatikana baadhi ya dawa ndani ya Hosptali huku zikipatikana kwenye maduka yao. Wito huo umetolewa…
25 January 2022, 16:59
Na; Mariam Kasawa Msemaji wa Jeshi la zima moto na uokoaji Nchini SACF Puyo Nzalayaimisi hii leo ameitembelea kampuni ya Dodoma media group inayomiliki vyombo vya habari vya Dodoma Fm pamoja na Dodoma Tv ili kujionea shughuli mbalimbali za utoaji…
25 January 2022, 16:27
Na; FRED CHETI. Serikali imesema kuwa inatambua mchango unaofanywa na kundi la vijana wajasiriamali wadogo maarufu kama Machinga katika kukuza uchumi wa nchi huku ikiahidi kutoa ushirikiano wa dhati kwa kundi hilo. Kaulu hiyo imetolewa leo na Rais wa Jamhuri…
24 January 2022, 15:45
Na; Neema Shirima. Baadhi ya wananchi wa mtaa wa chang’ombe kata ya Ihumwa jijini Dodoma wameelezea changamoto wanazokutana nazo katika msitu unaowatenganisha kati ya mtaa wa chang’ombe na mtaa wa mahoma makulu. Wakiongea na taswira ya habari wananchi hao wamesema…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-