Dodoma FM
Dodoma FM
17 October 2025, 10:10 am

Picha ni studio za Dodoma FM Redio zilizopo Miyuji Jijini Dodoma. Picha na Noah Patrick.
Karibu katika mwendelezo wa sehemu ya tano ya igizo la sauti ya tiba kutoka Dodoma FM.
Na Mariam Kasawa.
Karibu sana msikilizaji kusikiliza kipindi cha Sauti ya Tiba, sehemu t kipindi maalum kinachokuletea elimu na hamasa ya kuboresha maisha yako ya kila siku. Kupitia kipindi hiki, utasikia maigizo yenye kusisimua na kufundisha kupitia
https://radiotadio.co.tz/dodomafm/ na hii ni sehemu ya tano ya mchezo huu wa redio.