

27 February 2025, 1:54 pm
Kijiji hiki cha ujamaa kilitengwa tangu mwaka 1972.
Na Yussuph Hassan.
Leo mwana fahari Yussuph Hassani anazungumza na diwani wa kata ya Chali ambae anaelezea kuhusu wenyeji wa kijiji hicho na shughuli zinazo fanyika kijijini hapo,