Dodoma FM

Badili mtindo wa maisha kuepuka magonjwa yasiyoambukiza!

14 November 2024, 8:05 pm

Na Mariam Ma

Mtindo wa maisha umetajwa kuchaingia kwa kuchangia uwezekano wa  jamii kuathiriwa na magonjwa yasiyoambukiza.

Gaudensia Kalalu ni mtaalamu wa saikolojia kutoka hospitali ya taifa afya akili mirembe anazungumzia zaidi  aina ya magonjwa yasiyoambukiza pamoja na sababu zinazopellekea jamii kuathiriwa na magonjwa hao.

Pichani Bi. Gaudensia Kalalu mtaalamu wa saikolojia kutoka hospitali ya taifa afya akili Mirembe