Dodoma FM

Malima awataka walio jiandikisha kujitokeza kupiga kura Nov. 27 

18 October 2024, 8:05 pm

Na Noel Steven.

Mbunge wa Jimbo la Mpwapwa Mhe. George Nathan Malima amewataka wananchi wa jimbo hilo kujitokeza siku ya kupiga kura Nobemba 27.  

Mhe. George Nathan Malima Ameyasema hayo  wakati  alipomaliza zoezi la kujiandikisha katika kituo cha Chamnye Wilayani Mpwapwa.   

Pichani Mbunge wa Jimbo la Mpwapwa Mhe. George Nathan Malima katika zoezi la kujiandikisha
Sauti yaMhe. George Nathan Malima

Aidha wasimamizi na wandikishaji  wanaeleza hali ya mwitikio wa wananchi katika zoezi la uandikishaji.

Pichani Afisa mwandikishaji wilaya ya Mpwapwa
Sauti za maafisa waamdikishaji
Pichani Afisa mwandikishaji Wilaya ya Mpwapwa

Wananchi waliokuwa katika zoezi la kujiandikisha kituoni hapo wamesisitiza vijana kujitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi za uongozi.

Pichani Lea James Maile akioa maoni yake kuhusu zoezi la uandikishaji
Sautti za wananchi

Pichani moja ya kijana akitoa hamasa kwa vijana wenzake kujitokeza kugombea nafasi za uongozi

Pichani wananchi walioijitokeza katka zoezi la kujiandikisha daftari la mpiga kura