Dodoma FM

Wateknolojia Dawa nguzo muhimu katika huduma za afya nchini

16 October 2024, 7:27 pm

Na Yusuph Hassan.

Siku ya Wateknolojia Dawa Kitaifa Iimefanyika Jijini Dodoma Ikiwa na kauli mbiu Isemayo “Wateknolojia Dawa nguzo muhimu katika huduma za afya nchini tuwajibike pamoja”.

Katika kuadhimisha siku wa Wateknolojia Dawa Duniani ambayo hufanyika  Oktoba 16 kila mwaka, Mkurugenzi wa Huduma za Dawa na Mfamasia Mkuu wa Serikali Bwn. Daudi Msasi  anaeleza umuhimu wa kundi hili katika huduma ya afya nchini.

Mfamasia Mkuu wa Serikali Bwn. Daudi Msasi
Sauti ya Bwn. Daudi Msasi

Siku hii maalumu Inawaleta Wateknolojia Dawa Kujadili mada mbalimbali zinazolenga kutambua mchango wa Mteknolojia Dawa katika sekta ya afya  kama anavyoeleza Rais wa Chama cha Wateknolojia Dawa Bwn. Thabit S. Milandu.

Pichani Rais wa Chama cha Wateknolojia Dawa Bwn. Thabit S. Milandu.
Sauti ya Bwn. Thabit S. Milandu

Baadhi ya Wateknolojia Dawa waliohudhuria maadhimisho hayo walikuwa nahaya ya kusema.  

Pichani moja ya Wateknolojia Dawa akitoa maoni yake
Sauti za Wateknolojia Dawa
Pichani moja ya Wateknolojia Dawa katika madhimisho Jijini Dodoma